young wizard the kerokaboy - mtaani lyrics
slums ni magangsters,drug dealers na hoes
hakuna projects,pesa zinaishia kwa mif-ko
wakikata tamaa, wengine wanakata roho
bora hatulali njaa tunakesha kusaka doo
milio ya risasi kwetu imeshakuwa ringtone
tunajua 47,seska ama shotguns
kwetu kuna gangsters-3
(verse 1)
nipo chini na midundo akili kwa cash na power
maisha ni magumu take it simple twende sawa/
tuna guns ndani ya lockers na kush kush kibao
drugs ndani ya boxers na cash cash kibao/
baadae atakuja wife,materials na new benz
muda w-ngu wa mafanikio hauzibwi ata uniroge kivipi/
kama unanichukia sawa nakuchukia pia
ukikula unga sana,kenya itauziwa china/
flow zinakutoa ngozi ndan mpaka kwa damu
doo ntapata one day na mi ntakuwa boss/
nina marafiki na guns,mind yote kwa shilingi
marafiki addict wakiamka tu lazma bangi/
last year ulitoa alb-ms mtaani haikuenda platnum
six videos this year na huj-pata 1k views/
unajiita makaveli ntakuua ukikaa front seat
usitoke nje,usiende club,baki ndan please/
slums ni magangsters,drug dealers na hoes
hakuna projects,pesa zinaishia kwa mif-ko
wakikata tamaa, wengine wanakata roho
bora hatulali njaa tunakesha kusaka doo
milio ya risasi kwetu imeshakuwa ringtone
tunajua 47,seska ama shotguns
kwetu kuna gangsters-3
n-gg-r wana merk 50’s,ak’s na ar 15’s
night vision,sh-ll catcher na ray beams
sunday napiga sala,shingoni jesus piece
sunday siku ya bwana,kichwan nataka peace/
moja mbili ni tatu,nne nne ni nane
tisa tatu ni k-mi ongeza na zingine
shot guns,gold chain,laisers na old pager
nani yule gangster anafanana na dexter
umevaa skinny jeans na haga inatetema
ukienda mombasa utaambiwa”kaka umependeza”
weka mikono juu kama saa sita kamili
ukikataa nakupa copper mtaan ubaki bleeding
usinijaribu mimi buda unachagua mauti
sina uhai ndani sababu mimi nilizaliwa maiti/
slums ni magangsters,drug dealers na hoes
hakuna projects,pesa zinaishia kwa mif-ko
wakikata tamaa, wengine wanakata roho
bora hatulali njaa tunakesha kusaka doo
milio ya risasi kwetu imeshakuwa ringtone
tunajua 47,seska ama shotguns
kwetu kuna gangsters-3
ukiwa mtu mzima majuk-mu ni lazima
hakuna kazi mtaani tunaishia kukaba/
after hustle tunachill tunavuta ganja
tunaenda sp-ce ata bila kutumia mkwanja
nani anasambaza madawa ghetto
askari na gun anawinda young soul
hawapendi tukisema ukwl kwa rap songs/
unataka bullet scars ili upate publicity
nina mac 11 kuja nikupe 9-50’s/
unarap ferrari na nyumba beverly hill
wakati ghetto unakosa kula mara mbili/
silencer uzi’s,30 fake i.d,swiss cards
nageuza k’s baadae naswitch cards/
kwetu kuna gangsters,odis na magaza
kayole,dando straight mpaka kasa/
slums ni magangsters,drug dealers na hoes
hakuna projects,pesa zinaishia kwa mif-ko
wakikata tamaa, wengine wanakata roho
bora hatulali njaa tunakesha kusaka doo
milio ya risasi kwetu imeshakuwa ringtone
tunajua 47,seska ama shotguns
kwetu kuna gangsters-3
Random Lyrics
- j.s homero - visiones lyrics
- sybyr - trouble's son lyrics
- lucci (ltf) - surprends-les lyrics
- ravensthorn - demon cathedral lyrics
- spartakus - k.l.b lyrics
- capone-n-noreaga - my hood lyrics
- orla gartland - handlebars lyrics
- tom norton - 10th lyrics
- alius - forget about me lyrics
- robert nelson - jacques demers lyrics