![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
zuchu - fire lyrics
[intro]
(ayo, trone)
(ayo, lizer)
[verse 1]
baby, baby
mi’ na we’ in a thousand lifetimes
baby, baby
mi’ na we’ in a hundred ways
baby, baby
mi’ na we’ in a thousand lifetimes
baby, baby
mi’ na we’ in a hundred ways, yeah, eh, eh
oh, la+la+la, mwenzenu nakuwa chizi
mambo tunayopeana, tunayopeana
ah, salala, k+mbe mapenzi ndo’ hivi
oh, maana naona nampendelea sana
[pre+chorus]
akisikia joto (la+la+la), namuogesha (la+la+la)
namlaza mapajani (la+la+la), napepea vizuri
namrudisha utoto (la+la+la), namnyonyesha (la+la+la)
mkubwa ni kwenu nyinyi (la+la+la), kw+ngu hana kauli
[chorus]
kwa mapenzi moto, moto
fire+fire, fire+fire, eh (oh+oh)
fire+fire, fire+fire, eh (we ndo fire)
fire+fire, fire+fire, eh
my baby keep it burning
fire+fire, fire+fire, eh (oh+oh)
fire+fire, fire+fire, eh (we ndo fire)
fire+fire, fire+fire, eh
[verse 2]
oh, nisiongope, visifasifa nimevizidisha
mizungu yote as’oijua nimemfundisha
ahsubuhi sangara tope, jioni samaki papa namlisha
shobo zenu nyote, mie ndo’ ndivu liwezi katisha
kidege wafikishie salamu (oh, salamu)
vigwegwe vya dar+es+salaam (eh, salaam)
wambie nilizinguka sana oops (ooh+ah)
mashariki mpaka kusi’ (ooh+ah)
nikakutana na wazushi (ooh+ah)
walioniumiza
mola kanitunuku papuchi (ooh+ah)
mwana fundi bin nuks (ooh+ah)
penzi kaeka bando, kifurushi (ooh+ah)
na hatutomaliza
oh nisijishauwe kwa nini wakati ndo’ kashakuwa w+ngu?
ntazimaliza yasini mie kupendwa ndio jadi yangu
[pre+chorus]
akisikia joto (la+la+la), namuogesha (la+la+la)
namlaza mapajani (la+la+la), napepea vizuri
namrudisha utoto (la+la+la), namnyonyesha (la+la+la)
mkubwa ni kwenu nyinyi (la+la+la), kw+ngu hana kauli
[chorus]
kwa mapenzi moto, moto
fire+fire, fire+fire, eh (oh+oh)
fire+fire, fire+fire, eh (we ndo fire)
fire+fire, fire+fire, eh
my baby keep it burning
fire+fire, fire+fire, eh (oh+oh)
fire+fire, fire+fire, eh (ehh fire)
fire+fire, fire+fire, eh
[outro]
nishalia kadi ‘malize mchezo
amenipa jo+jo+joka (jamani jokali beberu)
amenipa jo+jo+joka (da! kanilambisha vitano)
amenipa jo+jo+joka (hata huruma hana)
amenipa jo+jo+joka
Random Lyrics
- bytemirage - espada de fogo lyrics
- solarstone - revelation lyrics
- rowdy racks & nhale - pimpin lyrics
- ronny whyte & travis hudson - bidin' my time lyrics
- herra hnetusmjör - umhvadatala? lyrics
- snh48 - 旗帜 (qízhì) lyrics
- sunshine christo - jon jon lyrics
- claris - メモリ "memory" lyrics
- gustavo mioto - rancação de roupa lyrics
- shadde277bro - jinada lyrics