zuchu - hakuna kulala lyrics
[intro]
lala lala lala lala lala lala
lala lala lala lala
mmhhh! mmhhh!
[verse 1]
namvuta faraghani
tumo tumo ndani
namtazama simuishi
namkanda mambavuni
kayainua majeshi
vita nichague mimi
aanze bangladesh
amalizie sudan
twanozana hatosheki
kaniweka kifuani
hatingishiki haruki
yuu hoi wa taabani
nampa na vya kurithi
na mizungu ya kigeni
[chorus]
hakuna kulala (eeeh eh!)
hakuna kulala (lala lala lala)
hakuna kulala asubuhi itukute
hakuna kulala (mi na weewe!)
hakuna kulala
hakuna kulala na machweo yatukute
[verse 2]
mmmhh!
siwezi kuficha hisia
maradhi yataniumbua
mizimu inayonijua
kanila kanimalizia
mbora katimiliki
kwa pasi za resiresi
hapitagi njia fupi
shortcut ye za nini?
nampa na vya kurithi
na mizungu ya kigeni
[chorus]
hakuna kulala hakuna kulala
hakuna kulala asubuhi itukute
hakuna kulala hakuna kulala
hakuna kulala na machweo yatukute
[outro]
laaaadha yaaaako
laaadha yako
ladha yako
ni taam
nitam nitam
nitam sana
Random Lyrics
- דקל וקנין - ba'derech eleicha - בדרך אלייך - dekel vaknin lyrics
- слава кпсс (slava kpss) & джигли - hrustalev car lyrics
- sdp crew - chocolat lyrics
- shaan singla - own up lyrics
- perccy - 1am agre$ion lyrics
- dead broke (wav) - stay away, i'm hurting lyrics
- rashaann - proud of you lyrics
- yellow & certified - static lyrics
- sr apache - no outro canto da cidade lyrics
- k.i.n.g cedric - plead the 5th lyrics