zuchu - napambana lyrics
naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala
cha kukila sijui, bora hata pa kulala
chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
eh kwachakwacha, nakwenda nakwenda
sijakubali kudoda hii ngoma haisambii
na ndoto za alinacha, sij+penda sij+penda
aliekupa kigoda, mi atanipa k+mbi
eh nipate ntoke patupu (kawaida iyo)
siku nzima niambulie buku (ndo yakw+ngu sijaiba iyo)
usiniulize naishije mjini (napambana)
niokote machupa niuze siso (napambana)
hata nkidanga jama niacheni (napambana)
niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
haaa, eeeh, iiih (napambana)
aaah, eeeh, oooh (napambana)
mama mkubwa lemukuu
khadija kopa
boss dela boss
mama dangote
majiamdimu majiamdimu
saga saga saga saga
eh, eh mungu w+ngu baba baba baba
ziitikie dua zetu waja
tupate magari sita nane saba
tuvae gucci fendy na miprada
wewe acha k+mbwela
mungu habagui anawapa hadi ngedere (wewe)
wewe (hela) tafuta hela (mchawi helaa)
wanaokudharau watakuheshimu mbele
eh nipate ntoke patupu (kawaida iyo)
eti siku nzima niambulie buku (ndo yakw+ngu sijaiba iyo)
usiniulize naishije mjini (napambana)
niokote machupa niuze siso (napambana)
hata nkidanga jama niacheni (napambana)
niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
haaa, eeeh, iiih (napambana)
aaah, eeeh, oooh (napambana)
mikono juu, mikono juu, mikono juu
wapambanaji mikono juu, mikono juu, mikono juu
asa usimcheke aloshindia chungwa
(alie kula kalaa)
we wa biriani shibe ileile
(alie kula kalaa)
maharage robo ugali kilo k+mi
(alie kula kalaa)
eti kula piza baga shibe ileile
(alie kula kalaa)
mama aliekula kala
(alie kula kalaa)
aah, aliekula kalaa ah
(alie kula kalaa)
Random Lyrics
- neo pistea - tiki lyrics
- skalpovich - interlude lyrics
- sectionsmokes - trap & scam pt 2 lyrics
- 18eenth - revelations from lyrics
- 妖精帝國 (das feenreich) - rebellion anthem lyrics
- dom casanova - ya no estas lyrics
- bright campa - you was right lyrics
- luke grimes - oh ohio lyrics
- jay the kidd (us) - icantmissoutonyou lyrics
- task ngu - how i feel lyrics