zuchu - naringa lyrics
sing mmmhh eeeehh
let sing, comeon eeh
sioni aibu, kwa kila linalonifika
mana kukosea ni wajibu
mola ameshaandika
na sianguuki, mimi nimechaguliwa
nnae mtegemea hachooki
hajawahi kupitiwa
mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
vinanipa ujasiri
nakua gado kamili
ukitaka kunidhuru mie
upite kwakwe kwanza
mungu w+ngu halali
ana ulinzi mkali
na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
nalindwa na mungu
msinione navimba navimba navimba navimba navimba
nalindwa na mungu
raise your glass
cheers to the lord
roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu
wala mtu mwenye maarifa
kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
mtayasema nikifa aaeh
unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba
nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o
utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo
he
na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh
nnae mtegemea hachooki
hajawahi kupitiwa
mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
vinanipa ujasiri
nakua gado kamili
ukitaka kunidhuru mie
upite kwakwe kwanza
mungu w+ngu halali
ana ulinzi mkali
na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
nalindwa na mungu
msinione navimba navimba navimba navimba navimba
nalindwa na mungu
Random Lyrics
- royal blood - tell me when it's too late lyrics
- brad mehldau & mark guiliana - elegy for amelia e. lyrics
- andrzej piaseczny - czas lyrics
- christopher mahoney - i cant count on you lyrics
- ssgkobe & surge - mona lia lyrics
- richie rozay - for you lyrics
- the cat empire - boom boom lyrics
- juss kev - like skittles lyrics
- sir prodige - me in te lyrics
- og deko - amigo wassup lyrics