zuchu - sukari lyrics
eyoo trone
(ayolizer)
[verse 1: zuchu]
eti nimemlambisha
ananiambia chombeza (chombeza)
tena nikiizidisha
ananiambia koleza (koleza)
nikitaka kusitisha
ananiambia ongeza (ongeza)
j+po imedhibitishwa
ila itampoteza
[hook: zuchu]
ikipanda ni balaa (naogopa)
ikishuka ndo hatari (naogopa)
asijepata madhara (naogopa)
akaikosa na hali (naogopa)
ladha yake msala (naogopa)
shira ya kizanzibari (naogopa)
na mi simpi mi wala
akitaka nampa
[chorus: zuchu]
aii sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
yelele, yelele…
[verse 2: zuchu]
na akilia njaa
ju njaa sifanyi ajizi
namjazia jar
ju jaa na vitangawizi
baba chanja, baba chanja (eeeh..)
chukua vyote chukua (eeeh..)
vitafune nganja nganja (eeeh..)
chagua mwaya chagua (kula)
ujiboosti na karanga ee (eeeh..)
tuliza na kitumbua (eeeh..)
jihadhari na majanga wee
usije ukaugua maana
[hook: zuchu]
ikipanda ni balaa (naogopa)
ikishuka ndo hatari (naogopa)
asijepata madhara (naogopa)
akaikosa na hali (naogopa)
ladha yake msala (naogopa)
shira ya kizanzibari (naogopa)
na mi simpi mi wala
akitaka nampa
[chorus: zuchu]
aii sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
sugar sukari (nampatia)
sukari (nampatia)
ah sugar sukari (nampatia)
[bridge: zuchu]
nimroge kwanini kashaninogea
dambua, dambua
utamu wa sukari ni tamu kolea
dambua, dambua
i say my boo dambua (dambua)
we dambua (dambua)
halua halua (dambua)
we dambua (dambua)
nasema da dambua (dambua)
we dambua (dambua)
nawa kama unafua (dambua)
kiguru nyanyua (dambua)
Random Lyrics
- athenians boys - estamos jugando lyrics
- painted wives - device lyrics
- brandonthaeditor - reproduction city 2 lyrics
- sevens.exe - nightlights lyrics
- palmiyeler - perdeyi arala lyrics
- michelelettera - pezzi lyrics
- boogotti kasino - trap mentality lyrics
- rachele mero - paranoia lyrics
- hoppipolla - unnatural lyrics
- hugo segovia - ridículamente lo sabes y lo sé lyrics