zuhura shaban - kama ni rahisi lyrics
kama ni rahisi
kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda
aliponitaka ili niwe wake sik+mhofia
sikuwa na shaka hilo ombi lake nimelipokea
sikubabaika tangu anitake nimeshatulia
sitobadilika naipata kwake raha ya dunia
kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda
mapenzi adhimu yasiyo mithali yameniingia
tena ni matamu kuliko asali nayafurahia
walonilaumu potelea mbali leo nawaambia
sitojidhulumu kwa w+ngu mpenzi nikaangaamia
kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza ajе kunishinda
ameshanihisi kwake napendеza ndiyo kanipenda
nimemuamini ni w+ngu mlezi anayenileya
w+ngu wa moyoni tena namuenzi namnyenyekea
nakula yamini pendo sigeuzi nimeswafi nia
uovu asilini kwa w+ngu mpenzi sitomtendea
kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda
toka awe w+ngu nami niwe wake kigiuu na njia
mara mje kw+ngu mara mwende kwake fitina kutia
hili pendo langu kwake liondoke mmedhamiria
yabaki machungu kisha mtucheke na kuhadithia
kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda
mtafanya nini, mtafanya nini?
pendo letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?
mtafanya nini, mtafanya nini?
penzi letu la wawili linawaudhi nini nyie?
umbea unakazi eleweni mafitina
kazi yenu uchochezi
lengo lenu tuachane
si mikiki si biriti lilomlewesha bwana nyie
mtafanya nini, mtafanya nini?
penzi letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?
kama munadhani ni rahisi mungeanza kuyaunnda
mimi sina wasiwasi najiamini napendwa
naye kw+ngu kajihisi ndomana ameniganda mimi
mtafanya nini, mtafanya nini?
huba zetu za halali zinawakata maini
mumeona twapendana roho zinakuumeni
wapenzi tumeshibana hatujali mafitini
pendo letu limefaana linawakata maini nyie
mtafanya nini, mtafanya nini?
hamuezi kutuzidi tushakolea pendoni sie
mtafanya nini, mtafanya nini?
pendo letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?
©shariff kombo +254 743 144 211
Random Lyrics
- kodak black - maffioso lyrics
- dj opulent - bad liar lyrics
- george cosby - swim lyrics
- vodka juniors - the monster lyrics
- executive tire swing club - pier lyrics
- carl anderson - lover's mask lyrics
- dom corleo - wick vibe lyrics
- johnny flynn - alice's song lyrics
- ben okeny - friends or god? lyrics
- brother. (alternative) - oxidate lyrics