zzero sufuri - matiati lyrics
yoh yoh redwilson chekii
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha
(matishaa)
brand new style inaitwa matishaa
(matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na diri (dirisha)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha
(matishaa)
brand new style inaitwa matishaa
(matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa
matishaa brand new style inaitwa matishaa
(matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)
na wakikuuliza ni nani ulikuwa ukiziwakisha
(wakishaa)
ibaki ni jirani huku kando walikuwa akiziwakisha (wakishaa)
na si amezivuta kwa sana leo ameziwakisha
joh wakishaa ni kubaya morio ngori ni k-matisha eeh
nik-mati nik-mati nik-matisha(matishaa)
nik-matisha design bila kubahatisha
(bahatishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha
eeh,kama umepiga look uko msafi
joh umetumatisha(matishaa)
uko na kamtu ni kazuri na kamematisha
(matishaa)
mambo ya kuhanya biriganya bado umematisha
eeh na kangoma kengine kanaitwa matishaa(matishaa)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matishaa
(matishaa)
brand new style inaitwa matisha(matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha
(matishaa)
brand new style inaitwa matisha(matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)
si unaeza chizi ukikimbiza mbuzi ngozi inakaa doh
si nik-matisha kwako lambo lolo isha tu go
hujasikia mamorio fulani wakali wametoka dagoo
si wamekam na ingine mbaya si unasikia
vile inadunda bro yoh
cheki hii ni ile mbaya mlikua mkiongojea
niliisikia mkiongea ikabaki ni kuwaletea
hii ni ile fiti iko na ki_kadi snare
hii ni beat nikiwa nayo hadi mambo
nitawapea
hii ni ile ya mafans w-ngu kuwagotea
kuwasho bado niko si ati mi nilipotea
hii ni ile ya jeshi k-matisha
jeshi cheza chini na bado pia joh ndio k-matisha
jeshi ilegezagi mabata bado huziwakisha
kwanza ikuwe tamasha hapo ndio sasa si huzimati (zimatishaa)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matishaa
(matishaa)
brand new style inaitwa matisha (matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na diri (dirisha)
hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matishaa
(matishaa)
brand new style inaitwa matisha (matishaa)
ka una kikolo, kinare kiko area wakishaa
(wakishaa)
ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)
yeah yeah ni zzero kama sos
mi ndio sos mi ndio boss
mi ndio world boss
eeh big up megalinks production
Random Lyrics
- javier krahe - fuera de la grey lyrics
- silke bischoff - i dont love you anymore lyrics
- peter wolf - everything i do (gonna be funky) lyrics
- youn berting - merit lyrics
- fgfc820 - ich bin ein ausländer lyrics
- adnan sami - barsaat lyrics
- oxford drama - seasons lyrics
- michael augustin - oh my lyrics
- baky - cesar lyrics
- canesecco - saddam hussein lyrics