azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

abbas kubaff – nipe makofi lyrics

Loading...

[intro: juliani]
yeah, niaje wazieya…
na-do biz na doobeez…
juliani… niaje wasee?
ama vipi?

[hook: juliani]
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe, nasema wewe na wewe…
nasema…

[verse 1: juliani]
hii ni ya break-dancing
usi-tuck in t-shirts, kickers
ume-sag jeans umebeba placards
tetea haki ma-mp hatuwaoni
ka machozi ya samaki
imagine, parliament kuna bills, booming
ka biz ya bullet proof iraq hai-last
haina future, futile
kibogoyo atafanyia nini mfupa
shule c ni better, e failure
mercedes e ni greater, c ni lesser
niamini makanika, ama headmaster?
hizi jobless degree nalenga the latter
canaan, ngumu kukam
suluhisho
ku-get high, na-get low
magoti kwa floor

[hook: juliani]
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we… wewe!

[verse 2: abbas kubaff]
ila laiti, watu waliuwa wahaiti
picha kila mahali ni miili ya maiti
kama uko hai wee shukuru tu almighty
hamjui ni saa ngapi na
mko na ma-breitlings
bombs wanaangusha si walitengeza beijing
illuminati mpaka kwenye cover yake jay z
tunajua wale wanakuw-nga ma-racist
ma-rapist babylon huw-nga ma-atheist
tap vichwa zao na kuweka kwenye matrix
forensics hiyo wanaita hypnosis
madawa wamepewa inawapa psychosis
tuberculosis
spit makamasi
tonsils zao ziko mpaka ndani ya nostrils
the next extinct animal si ni ostrich
wanaua wanyama ndio wapate noti
wanakata kata miti ndio wapate moshi

[hook: juliani]
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we… wewe!

[verse 3: abbas kubaff]
roundi hii yaani nimekam na juliani
utadhania tsunami ime-land duniani
tuwa-wash ka sabuni wawe safi yaani
roho safi gota basi wacha nuks nani
msanii ni msanii yaani ni mc
na wengine wata-run kama dmc
juu dunia iko state ya emergency
suluhisho inafaa kuletwa urgently
modestly, lakini most importantly
tunafaa kuelimisha watu honestly
hii ni maandiko iko kwenye prophecy
zitatokea we upende usipende chief

[verse 4: juliani]
abbas tume-complain sana
ku-blame giza na tumevaa stunners za black
in fact
mjeshi aki-drive p-ssat
havotii mandate
pia sisi ka opposition ya obama tuichape ma-cain
mara ngapi tumevaosha madame
kuvuna penye hatuj-panda zote si same
ni ka pitch ya the real transformer
the real transformer
diamonds are forever
mwenye diamond na mwenye forever nikaongea na yeye
nisiingize maji ka papier-mâché

[hook: juliani]
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we… wewe!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...