azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

amos & josh – baadaye lyrics

Loading...

[verse 1]
ni how, uliniwacha mi bila faham
kuwa ni yako zamu
angalau
ungeniambia eti unakam
nitulize hamu
w+ngu wa dhati, hey
tamaa zangu zimenikwamia
mikononi, labda huu ni mwisho wa dunia

[hook]
safiri salama, msalimu maulana
tutaonana baadaye, uuuh
safiri salama, msalimu maulana
tutaonana baadaye
oooh ndiyooo, tutaonana baadaye
mpendwa ndiyoooo, tutaonana baadaye
nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye, heey
nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye, huuuu

[verse 2]
waah, okay
natamani kujua what your plot is
hata landlord hupeana notice
aki maulana ingilia kati
fees ni expensive but worth it
kwa nini uliamua kutangulia
diet yangu imechange, tabia ya kulia
usingizi nakutamani, kushoto kulia
unakuja lini, nitabasamu tena
unanitenda, aliyekuchukua sijui nani alimtuma
maombi ni ati wakati rudi nyuma
jua mi nikirudi, nikupate kwa nyumba
ju zimeshikana ni ngumu kuvunja
but, ka una haraka nenda kwanza
niko na i+bag sijalala
na usalimie maulana

[hook]
safiri salama, msalimu maulana
tutaonana baadaye, hoooh
safiri salama, msalimu maulana
tutaonana baadaye
ndiyoooooooo
ndiyoooo, tutaonana baadaye
ooh nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye, ooh
nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye

[bridge]
ndiyoooooooo
[nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye]
ndiyoooo, tutaonana baadaye
[nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye]

ndiyoooooooo, tutaonana baadaye
[nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye]
hey ndiyoooo, tutaonana baadaye
[nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye]

[outro]
nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye
nakam nakam, mpendwa tabasam
tutaonana baadaye



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...