azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

angel benard – nikumbushe wema wako lyrics

Loading...

nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
pale mambo yanapoonekana hayaendiii
ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)

ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba j-pokuwa mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu, j-pokua mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu,
ahh nak-mbuka wana wa israel katika bahari yashamu j-po walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
kwa nyimbo nyingi waliimba na k-msifu bwanaa. lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo,
manung’unikoo yalisimama na kusahau muujiza alotenda bwana mwanzo aah.
eee mungu niisaidieee eee eenhee
bridge -nik-mbushe wema wako nisije laumu
nik-mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik-mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machoziii, x2
eeeh ee mungu nisaidiee
nisaidieee kuk-mbuka baba yakwamba umenichora kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa oooh ooo
nik-mbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleniii. ouoooh ooh
yakwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eee babaa umenikung’uta mavumbi, kung’uta mavumbi mimi na kuniheshimisha.
oooooh oooooh

nik-mbushe wema wako nisije laumu
nik-mbushe ukuu wako wakati wa magumu(nisaidie yesu)
nik-mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii ×2