billnass – naleft lyrics
siku hizi kwenye group huwa sichangii mada, iyee
sipendi group kama halina vimada
picha za tuk zamaliza mb sana
bundle la book data mb nane
admin kaniadd kimakosa(iyee)
inbox wana wanaomba vocha
screenshot za iyo daro zinachosha
katongoza dem kwa makopa kopa
oyaa, kifo cha mende
styli ni moja, kifo cha mende
wahuni hatuna dhambi, kifo cha mende
tunajikongoja
mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina
mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina
mi naleft kwa group(oya)
muda mchache mambo ni mengi(ayee)
ona video ya mtumishi(vuma)
kondoo kachungwa kalishwa penzi
imejideleti kistarabu
niache na style ni wivu tu
uzuri wa make+up gadhabu
mapicha we, ni filter tu
iyee, wazee wa biriani, kifo cha mende
styli ni moja, kifo cha mende
wahuni hatuna dhambi, kifo cha mendе
tunajikongojaa
mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina lеft mina(mi naleft)
mina mina mina left mina
mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina(mi naleft)
mina mina mina left mina
wazee wa biriani, kifo cha mende
styli ni moja, kifo cha mende
wahuni hatuna dhambi, kifo cha mende
tunajikongoja, kifo cha mende
kifo cha mende
kifo cha mende
kifo cha mende
kifo cha mende
Random Lyrics
- pr!zm aa – whak n mo lyrics
- jordan ms – pisces lyrics
- zxcshade – здания (building) lyrics
- the brookses – calico lyrics
- san pacho – give it up lyrics
- frankiie – golden days lyrics
- the royal foundry – start this fire lyrics
- albee al – hit different lyrics
- هالة شريف – sa3at w sa3at | ساعات وساعات – hala sherif lyrics
- playboi carti – u kan do it too lyrics