azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

blue stars modern taarab uganda – kunguni mtu lyrics

Loading...

chorus
habari zangu unazo-k-mbe kunguni mtu
habari zako sinazo-elewa kunguni mtu.2x
verse 1
unayataka ya watu-kuya fuata asilani
nawe kamwe huna utu-thamani yako ni duni
huto ni tambiia katu-we ni sawa na kunguni
nani aliye kutwika-aje leo akutuwe
mwisho wako umefika-ukaye na utambuwe
chorus
verse 2
utaliya na kununa-hapa ndo mwanzo na anza
naja kuku paka hina-upate kutu pendeza
utani kw-ngu hamna -ni bure ntakuliza
ukome tena ukome -mimi si saizi yako
nenda zako ukorome -asie kujua kikoko
kila mtu umuseme -hiyo ndo faida yako
chorus
verse 3
mtu ni kuwa na haya -mabaya ku yaepuka
wala si wewe malaya -uonaye wa mtaka
kuzua haya na haya -amani ikatoweka
arabuni na ulaya -kwote una kashifika
mfitini uso haya -kw-ngu nini unataka
nini ni mekukuseya -wapita ukini baka
chorus
end



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...