boutross munene - mbaya lyrics
( chorus )
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
boutross ( verse 1 )
kama ni ngwai ni sawa, ka ni wanjiru ni sawa
vile huyu ngeos anaringa na wig na si tunajua ni kipara
lazima ukuwe cautious mbaya, mapanya wanaimba ka choir
buda utapata hiyo ganji, bora hiyo mali iko sawa
siku hizi nachill na kiwalach , ngono kwa keja ni tafash
usiku madam aliniharass , asubuhi niliamka mgongo imekwara
mdaks ilijua ni matanga, shawty nilidhani kahaba
but vile ngeos amenawir , kama ni mbaya ni mbaya
kama ni line ni sawa, cheza na miley cyrus
buda niko loud vibaya, na vile nawamada na silence
cheza ka pastor ng’ang’a , ball na doo ya sadaka
mafala wote wanajigamba, wafanye kile watafanya juu
( chorus )
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
virusi ( verse 2 )
she’s no stoner but , ameiva vibaya
hapendi marapper but, yuskiza vimbaya
such a cutie but, tabia ndio mbaya
ndula pretty but uliza bei jo ni mbaya
but cut the cr+p, bado tukitrap bado wanatii rap
daily me hufunga kwa mashow wanachocha zile za v rap
sahii usipofuata injili jua ulibaki kuwa pagan
vile natesa kila mtaa utadhani jo nilibuy gun
maybe ni ma codeine , juu nilikuwa nataka kufanya kitu haijaikuwa seen
nikajipata jo kwa scene nikisin,maybe ni hawa warembo wameshinda wakinichocha ati vile me nim thugsome
lakini nikicheki smiles zao wanadai jo ki three some
maybe ni hizi mambichwa ziko kwa kichwa zinadai kulipuka
walitokea wote na ma gas mask juu walijua katanuka
juu nak+mbuka nikiwarniwa hizi dawa ni mbaya nikizitumia vibaya
but sahii nime misuse kaa zote hizi madre me ni malaya
( chorus )
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
kama ni mbaya ni mbaya , ka ni virusi ni mbaya
ka ni madawa ni mbaya, inanipea mabawa
vile injili inashika , siku hizi naitanga ibada
kama ni mbaya ni mbaya , kama ni mbaya ni mbaya
Random Lyrics
- logos apeili - ερμής (ermhs) lyrics
- charlie rodd - me acordé lyrics
- deadi - ciel vide lyrics
- biv - st. james lyrics
- cast - fancy nancy - j'adore paris lyrics
- lil brendy - popstar lyrics
- nikhil-shantanu - dil ki baatein lyrics
- k.i.p. - thank you haters lyrics
- stephen kellogg - good ol' days lyrics
- kialla - saturday lyrics