azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

brian simba – silali lyrics

Loading...

silali
verse 1
kila bar ninahang na machef na meneja
hata na mateja
na maslayqueen wanaokunywa champagne kwa mirija
ey
anywhere i go with the team ni balaa na ni danger
kwa ujumla tunagawa dose kwa maemcee
unaweza pata rejareja

all white uncle guni tee na macamouflage kama ninachill na wajeda
nikiwaga ke na mwanangu al b huwa njnachill tu kwa keja
anauliza “how a small n+gga like u ila daresalaam yote unaibeba?”
nawambia “uuh.. hata sio ishu.. huu mtiani nilionaga past paper”

nkisepa.. narudi zangu daressalaam kutembeza mikwaju na mboko
emcees gotta understand hip hop sio kushine na viwalo vya mkoko
rap ni maendeleo leo pandisha kaghetto balaa na mkoko
na ndo maana, uh silali.. kama popo

hook
na ndio maana ah!
silali × 7
na ndio maana dah!
silali ×7

verse 2
na ndo maana aahh..
nipo machoo
ukitaka jua ninahustle
cheki tee ilivoloa jasho
eti kisa sijavuta ndinga ninanyewa sana na hawa vijana wenye passo
k+mbe pisi zao zinakuja kwa magetto.. na wanangu wanashikaga matako

hatuna time mbulula!
huwa hatujalishi sura
tulivoshine ka mwanzo wa video ya icecream ya noorah
kazi kuwaza mamulla, nacheki machura
najipa makura
ebu piga uncle guni
dogo anauliza “umekula?”

mi nalala jicho moja
jicho jingine haifungi ka pharmacy… sinza
na wachawi wamekua wengi.. kanno kanambia wakinsogelea nawachinja
fake n+ggas cant ball wimme nawainjure
man nimekua ka ninja
flow zangu zimekua tamu kama chai yenye ginger cuz

hook



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...