azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chidi beenz – nampenda sana lyrics

Loading...

iiiiiiiii ihiiiiiii
lalilaalilalilaaaaaaaaaaaaaaa
kwa jina lako usiku mkali nakuota balaa(balaa)
njoo unipe penzi lako niwake kama ile saa(na ile saa)
kisha uruke na mi cheza tingisha mamaaa (tingisha mamaaaa)
leo siku yetu kivyetu vyetu pengine aaahaa(penginee aaaaaaahh)
napenda unavyovaa macho yote kwako kwenye mitaaa(kwenye mitaa)
simple zako bambataaa peke yako mashallah(mashallah)
napenda unavyovaa macho yote kwako kwenye mitaaa(kwenye mitaa)
simple zako bambataaa peke yako mashallah(mashallah)
maadui wamezungukaa kila dakika wanasumbukaa(wanasumbukaaa)
waache waache wanazungukaaa ila mpaka tu mwisho wanatukutaa(wanatukutaa)
maadui wamezungukaa kila dakika wanasumbukaa(wanasumbukaaa)
waache waache wanazungukaaa ila mpaka tu mwisho wanatukutaa(wanatukutaa)
ananipenda nampenda sana ndio maana niko nayeee
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh

usibabahike na masela na maana nakupenda
i love you ilove youuu i love youuu
i need youu ooooohhhhh aaah lalalaalala

sijui kama unapenda regge sijui kama unapenda mdundo dundika
sijui kama unapenda regge sijui kama unapenda music chizikaa
sura yako nakuona malaika nakuja hata kama hujaniita
maringo namakogo kama mzigua nashindwa kwa ndani moyo unaungua
ningeweza shika anga ningenyesha kama mvua
maneno ningesema ulowane na na vua
cheza slow we ni sooo unajaza show mabishow wanashindwa kujicontrol
stori stori stori stori zao zimejaaa nakupenda mama nimefika nimefika nimekaaa
nimejaaa nipokeee wacha waongee nakupenda nakupenda aiseee

ananipenda nampenda sana ndio maana niko nayeee
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh
ananipenda nampenda sana ndio maana niko nayeee
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh
ananipenda nampenda sana ndio maana niko nayeee
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh
nampenda sana ndio maana niko naeeeeehh

upo peke yako (najuaaa)hakuna mwenzako(najuaaa)
uende uendako (nakupenda)mi bado nipo kwako(nakupenda)
nami nakupenda(upo peke yako)nami nakupenda(hakuna mwenzako)
nami nakupenda(uende uendako)nami nakupenda (mi bado nipo kwako)
oohhhh