azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

collins pinky - yesu anaweza lyrics

Loading...

yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w+ngu

ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako

ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha

nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;

kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw+ngu moyoni bwana
bubujika daima



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...