collins pinky – yesu anaweza lyrics
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w+ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw+ngu moyoni bwana
bubujika daima
Random Lyrics
- cianboy – malédiction lyrics
- tendon levey – luck of lucks lyrics
- flow-g – batugan lyrics
- zandie khumalo – ubedlula bonke lyrics
- benzy – jumpin! lyrics
- neil young – the loner (live at canterbury house 1968) lyrics
- rass limit – no matter what lyrics
- dou wei (窦唯) – 感觉时刻 (gan jue shi ke) lyrics
- inspirit – drawing down the moon lyrics
- drear – i guess this is goodbye lyrics