congress musicfactory - twakutukuza lyrics
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
Random Lyrics
- louis rustum - pharoahs. lyrics
- salta la banca - invierno tibio lyrics
- teamheadkick - hide your kids (nazi zombies rap) lyrics
- e-40 - paid off lyrics
- lucas coly - fuck over you lyrics
- stephen flaherty - some girls lyrics
- caktuz - f'n problem lyrics
- johnny reimar - sikke'n fest lyrics
- lil super mario - want me back lyrics
- la gota que colma - la gota que colma lyrics