congress musicfactory – twakutukuza lyrics
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
Random Lyrics
- resa tunch – intenze feelingz lyrics
- rap contenders – infinit vs cheef lyrics
- mv bill – marquinhos cabeção lyrics
- wayv (威神v) – 噩梦 (come back) lyrics
- j.t. hiskey – word on the streets lyrics
- caz – fremdschaft lyrics
- pinto – ulcera lyrics
- barenaked ladies – maybe you’re right lyrics
- sleepy sun – white dove lyrics
- corbin – ur song lyrics