azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

darassa feat. osman – sio mbaya lyrics

Loading...

uhuru uhuru we
uhuru weee
uhuru uhuru we eh eh eh

fungua macho tazama
ishi maisha yako na kuwa free
mfano me
uhuru uhuru we
uhuru weee
uhuru uhuru we eh eh eh
anzisha mziki sasa
eh bwana bhana inakuaje
sio mbaya
africa ya mashariki
sio mbaya
salamu za mashabiki
sio mbaya
ah aaaaah!
narusha feeling zangu high kama kipepeo
nataka kuhave fun sio mbaya leo
leo ndio leo kama mchezo wa video
usikubali ukapitwa na hili toleo
mana nakunywa nalewa
naimba nacheza
na icho ulichopewa mungu atakuongeaza
maisha ni juu na chini
kuishi ni kujiamini
wakikwambia wataka kuwa nani
wambie mimi
waweza kuwa queen
waweza kuwa king
waweza kuwa juu angani ukiamini
anayejali hisia zako anakuthamini
anayekupa nafasi anakuamini
maisha ya mjini
kula ipo akilini
binadamu hawafai kaishi porini

eh bwana bhana inakuaje
sio mbaya
mipango imekaaje
sio mbaya
kujiburudisha na muziki
sio mbaya
na kisha tunaridhika
sio mbaya
hata sisi tunashida
sio mbaya
changamoto za maisha
sio mbaya
kunawatu watakupinga
sio mbaya
kwenye faida kuwa mjinga pia
sio mbaya
napiga simu mama cl-ss
sema sio mbaya
umeme umekata sij-pasi
sio mbaya
naingia kwenye mitikasi
sio mbaya
hata wazee wa kazi
hawako vibaya
pata unashukuru
piga makoti
mwenzetu akitoboa
tunasema hard work
ukikutana na mtoto mzuri
sema nice shot
na ukipenda anavo move
piga makofi
mwindaji haogopi
mtafutaji hachoki
unaweza ukafungwa wewe
young k!lla msodoki
maisha kichwa box
drinks moja moja na washikaji kuna shots
nani alikwambia masikini hachoki
eh bwana bhana inakuaje
sio mbaya
mipango imekaaje
sio mbaya
kujiburudisha na muziki
sio mbaya
na kisha tunaridhika
sio mbaya
hata sisi tunashida
sio mbaya
changamoto za maisha
sio mbaya
kunawatu watakupinga
sio mbaya
kwenye faida kuwa mjinga pia
sio mbaya
anayeitika unapomwita
rafiki wa kweli
anayekufaa kwenye shida
rafiki wa kweli
anayemulika kwenye giza
rafiki wa kweli
tunamapungufu yetu
bado hatujafeli
leo tupo wote down tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
ups tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
down tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
ups tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
tuna celebrate
yooh! sometimes inabidi tu
uishi maisha yako
the cl-ss aaah.



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...