dayoo – huu mwaka lyrics
huu mwaka eeh
ndio mwaka wa kufosi
yaani mtake msitake
huu mwaka mtaniita boss
oya! si eti eeh mmmh
oh no no no, ooh aah
(ma feelings make it)
huu mwaka eeh
ndio mwaka wa kufosi
yaani mtake msitake
mtaniita boss
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
kwanza nashukuru tumevuka (tumeuona)
yale yaliopita yametukomaza
oya wanangu wa bodaboda (eeh)
wa akina mama wauza mboga (eeeh)
hata wachawi wabeba nyota
huu mwaka ni wetu
kama unadanga danga sana
ila usisahau k+make bwana
uje kujenga ka kibanda
nawe uwe na kwenu
na ukipata limama, eh likomoe
likupe pesa huu mwaka utoboe
oya usikae kizembe na usichague jembe
kama mkulima lima
kama unaimba imba utoboe
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
oya wanangu wa bodaboda (eeh)
wa akina mama wauza mboga (eeeh)
hata wachawi wabeba nyota
huu mwaka ni wetu
kama unadanga danga sana
ila usisahau k+make bwana
uje kujenga ka kibanda
nawe uwe na kwenu
na ukipata limama, eh likomoe
likupe pesa huu mwaka utoboe
oya usikae kizembe na usichague jembe
kama mkulima lima
kama unaimba imba utoboe
huu mwaka eeh
ndio mwaka wa kufosi
yaani mtake msitake
huu mwaka mtaniita boss
huu mwaka eeh
ndio mwaka wa kufosi
yaani mtake msitake
huu mwaka mtaniita boss
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
huu mwaka eeh
Random Lyrics
- w4ve – плыть lyrics
- trippie redd – hold me down lyrics
- angelica ross – only you lyrics
- for the hackers – nous lyrics
- fabbin – ipanema lyrics
- percless – anorak freestyle lyrics
- of montreal – our training did nothing lyrics
- zeno lee – dolce melodia lyrics
- dаrling – рекламная пауза (reklamnya payza) lyrics
- mac miller – paris, tokyo lyrics