azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dewyne – free will lyrics

Loading...

tupo hot kama chai
tunawaka tuna wai
middle finger kwako we ifunge kama tai
wanasema n+gga huniwezi mi dewyne
na natisha kama pizza mi nifunge kama tai

nazama ulingoni nakimbiza zangu njozi
labda jah abless nami kuwa kama boss
nafunga kila pande na mabillions
watu wana change colour ka kamillion
eti kisa gari , mali na mamillion ,w+n+leta na magonjwa kisa million
ila wakifa hawazikwi na mamillion
binadamu wan+z+ka sio million

mi napita mchaka mchaka
nakanyaga rapper rappers
wanaojiita rapper trappers
k+mbe kazi kula bata
wakipata zao chapa ,kula bata na madada ,na kuslang zao chata eti wao
godfather n+gga nooo
staki usnitch wako n+gga , gooo
chata ni michano sio yoo
kuimba kwako skor skor
unawaza chu chuuuu

yeah ,navaa hii michano ,iwe kama suti
nashusa tu michano ,ninavaa kama buti
nashusha flow zangu kali kama parachuti
my n+ggas wanasema ,yeah ,do it
embu zama ulingoni
pigania zako njozi
ukiskia soma ,jua kwenu
huna urithi
imma keep wonders sound like a vest on me
wakaweka mpaka nia kuni invest on me
walking through amolo d+mn ,na machains on me
designer look the best ,put the chains on me
tena sina presha ,nima chains on me
indepеndent gotta people who dеpend on me
snitch daily walijua kupretend on me
sasa nina mali wanaspend on me
mkale wa wa kale kudepend on me
mi dewyne , deeblery walisign on me

my n+ggaz they go ,praise on me
nasasa im the gang ,goli
sina gang ,gang rollin
nama ferrari

put the chains on the n+gga
but i flex with the n+gga
my n+ggaz they go say ,i go flu all the filters
yeah ,imma hit it
i go smoke all weed
my n+gga they go smoke
but i roll all will



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...