diamond d - mawazo lyrics
(chorous)
ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kw-ngu kikwazo
(ve-rs- one)
sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga…
tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava…
utu w-ngu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua
utu w-ngu unathamani inamaana kweli havijuaa!
mmmh! licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (inauma sana)
(chorous)
ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kw-ngu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)
verse2
ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia nalia na moyo w-ngu…
ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo w-ngu
kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa
kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kw-ngu
ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo w-ngu
Random Lyrics
- kid ink - main chick (remix 2) lyrics
- blackstreet - no diggity (cooler than now remix) lyrics
- nilton cm & emana cheezy - felizes lyrics
- evening hymns - all of my life i have been running lyrics
- albert hammond jr. - st. justice lyrics
- kardeş türküler - kara üzüm habbesi lyrics
- bremmy - faithful lyrics
- mastermind - mes rêves d'enfant lyrics
- lord siva - opad lyrics
- emmanuel - privilegio lyrics