diamond platnumz – naanzaje lyrics
aliumba ardhi akaumba mbingu
akaumba mbaramwezi
kaumba nafsi, kaumba wivu
akayaumba na mapenzi
na kukuacha sidhan
siwezi jaribu
maana penzi kwa mzani
umenizidi mahabibu
shika vyema usukani
twende taratibu
baada ya tuta baby koleza gia
yani tam tam kama pipi
nakuita sweet
ah lote lote
fundi kwenye kwichikwichi
shape vipi
kama lote
vicheche nisha delete
sitaki cheat
wa toke toke
kwenye moyo nimekupa seat
we ndo dereva, sio wa kukuacha oh
naanzaje, naanzaje, naanzaje
mwenzako kukuacha siwezi
naanzaje, naanzaje, naanzaje
kukuacha oh, kabisa siwezi
hadithi kuja hadithi njoo
utamu kolea
mzenzenu huba liko kwa roho
limеninogea
vishenshuda poleni wooo
mnalo wambеya
mtaja kuumwa makwasha koo
kwa kutuongelea
tena me kwake ndo daktari
nampa tiba halali
wanaitaga sukari
alamba haam
na jana nilifunga nkasali
nikamuomba jalali
tuepushe madhohari
ya wanadamu
ah ah, we tam tam kama pipi
nakuita sweet
ah lote lote
fundi kwenye kwichikwichi
shape vipi
kama lote
vicheche nisha delete
sitaki cheat
wa toke toke
kwenye moyo nimekupa seat
we ndo dereva, sio wa kukuacha oh
naanzaje, naanzaje, naanzaje
mwenzako, kukuacha siwezi
naanzaje, naanzaje, naanzaje
kukuacha oh, kabisa siwezi
na kukuacha sidhani
siwezi jaribu
maana penzi kwa mzani
umenizidi mahabibu
wasafi
Random Lyrics
- white migz – bleu nuit lyrics
- the three braincells – top hit remix (childrens book disstrack) lyrics
- camila cabello – million to one (reprise) lyrics
- schiavogemmeo – non bi ciompes lyrics
- b.c.a mike – it is what it is lyrics
- uni (band) – electric universe lyrics
- guns n’ roses – welcome to the jungle (live) lyrics
- fellmeth – passive lyrics
- stereo luchs – ide strass lyrics
- jemr – lealmente real lyrics