azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dmore – get a tako lyrics

Loading...

hitman kart

[verse 1]
gong gong fungua duka
dudu iko njaa taka toa kutu
wambo ndio form anadai sekete
finya lila lolo bila kelele
ting a ling is a hitman ting
mbichwa kibao tuna legalizing
take a dush rada ni kuget a tako
tuna darua darua hapa hapan tambua
aiii!

[hook]
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

[verse 2]
ukikatika na haga una wahi wahi
waroro wenye tako wanadai dai
vitu safi, mangwai tuko high high
dmore cheki vile pongi imesimama

niko bridge, niko on samahani
mbichwa kibao tokea joh gizani
ziwake sana tudare hao mafine queen
zikishika unawai mshikaji

ndani ndani kwa ndae ni mamanzi
meditation, marinating ndio simamation
cheki vile wanambao kiatumbati
mamdem wanawai msee wa mikaki

ona vitu zinasonga maskani
tingi tingi chingi si ana fiti fiti
biggy biggy wana bum bigy bigy
aki sweety niamshe kijiti

[hook]
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

[verse 3]
they say am getting money
talk to devil, my buggati
they say am getting money
ju nishambuyia hadi ferrari

mi siko ndani yani
ati ‘chokoch’ rada gani?
siku hizi masomo stress
labda tusome tai chi

walai madem huitwa ndanu
huwa fiti than vt
nairobi hakuna manzi ya bure
labda udoz na vvc

rap yako mi stambui
ka ni ya kenya au dubai
hii game nilianza me
niko idhaa kutoka zamani

[hook]
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako

[verse 4]
niko baze zimeshika
niko mariba (riba riba)
niko mariba
na anita umebeba
tebu chunga mimba
(kaa na rada, kaa na rada)
tebu chunga mimba

na manjege wako rada utadhani dumba
ni kidogo nilisema utapigwa tisa
chunga washirika
hapa si kanisa
hapa si kanisa
vuta makamasi unachachisha unachachisha
azuzu kwenye rada unasafisga
tebu safisha

[hook]
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako
1, 2 get a tako
3, 4 a big tako



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...