don santo – attention! lyrics
verse 1
melody
nimezikutanisha;
n-body
can ever tisha sisi;
narudi uwanjani nakuta vijana wameluze malingala;
wengine nao wanatisha ma og na k-mbe ni ushamba;
vipi humo humo
wasafi wako wapi si wale watafuta kiki?
badili mtazamo
rudisha muziki uwache vituko vya abunwasi
chorus
walisababisha mambo
twawapa onyo;
wakabingirisha tone
naja na bonge;
hatuwaoni; wamezama nini? x2
wako wapi! aah
verse 2
one of a kind
da people whose loving haiwezi retire;
na mioyo yao
imejengwa na material designer
wengine nao wabandikwa majina kwa chezo la kitanda;
urembo wa kizazi kipya kuuza maradhi kwa vitanda;
wafalme wa kweli wawapi ama wana, tafuta kiki?
regesha heshima kwa muziki
jamaa, tuwache chuki
chorus
walisababisha mambo
twawapa onyo;
wakabingirisha tone
naja na bonge;
hatuwaoni; wamezama nini? x2
wako wapi! aah
Random Lyrics
- anis fahira – limbung 2 lyrics
- mr.kitty – trauma lyrics
- the panasdalam bank – tetap tenang (feat. ajeng & nawa) lyrics
- sundara karma – duller days lyrics
- 2scratch feat. mime – nightmare lyrics
- dido – have to stay lyrics
- key – show me lyrics
- conan gray – sometime lyrics
- rkomi – peaky blinders lyrics
- kanwar grewal – chitthiye lyrics