azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don santo – kupe lyrics

Loading...

intro
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k+mbe ni kupe :||

verse 1
huko mjini kuna mambo, unavyoona k+mbe sivyo
wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote

chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k+mbe ni kupe :||

verse 2
leta pesa tutaifanya double, triple hata mara k+mi unavyotaka, utapata;
na k+mbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
hao x3 – ni wezi kupindukia;
i know x 3 – ni ngumu kuwatambua
akija na story, jipange pange; akija na vako, mrushe rushe
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k+mbe ni kupe :||

verse 3
t’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
utadhani muhubiri wa neno la mungu, k+mbe ni broker na kahaba
“bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
acha ukora yeye yeye yeyee, hahahahahahahaha shame on you!

chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k+mbe ni kupe :||



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...