azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

duke & songa – sorry lyrics

Loading...

intro:
tamaduni muzik
yeah, duke tachez
songa

[verse i: songa]
nilikwambia naitwa harry, ukaniamini
nikaahidi kukujali ukiwa tayari kuwa na mimi
sikuwa muwazi kuhusu hali, nikadai siyo maskini
kwetu tuna nyumba na gari kuanzia bush mpaka mjini
nitakupa kupa raha, hujawahi pata
utang’aa mpaka hizo taa watazikata
huko uswazi ndio utasema sasa bye
utaponitaka, sitokuwa busy mithili ya jaffarai
k-mbe nataka bupa kiroho safi
nikadai unahips kubwa mfano wa chupa ya konyagi
umenivuta nafsi
kwako nimekufa, na wala kufuf-ka sitaki
ni kama paka mwenye nguvu za panya
unawasi, we ni hasi unahitaji nguvu za chanya
nasikitika leo hujui cha kufanya
i’m sorry, sitaki tena kukudanganya

[verse ii: songa]
mtoto kama rambo kwenye scene
ukadata na mimi, ukawapiga chini zaiid na kibabu wapoteen
baada ya bata za muda mfupi
ukahisi umepata bwana k-mbe umepata nuksi
ukanipigia show, wala sikufanya booking
nini ice cream, kw-ngu ukalamba mpaka mkuki
ujuzi lukuki
sikuwa na muda wa kuhesabu magoli nilipiga tu mashuti
ki ukweli tuli-enjoy wasaa
tatizo ni kwamba nilikuona kama toy la mtaa
nikiacha sitoi, nikimwaga sizoi
ona sasa uko hoi balaa
ni kama paka mwenye nguvu za panya
unawasi, we ni hasi unahitaji nguvu za chanya
nasikitika leo hujui cha kufanya
i’m sorry, sitaki tena kukudanganya

[verse iii: songa]
ki ukweli naitwa songa maskini tu wakutupwa
hapa nilipo sina shillingi ya jinsi wala bukta
kipi nitakupa?
mi mwenyewe nimechacha mpaka nawaza lini nitakufa
vipi nitaondoa doa la ngozi
wallet kitunguu, nikifungua natoa chozi
sasa ni mchana na bado hujala
sikupi hela ya kusuka, siku hizi unanyoa upara
ni kipindi cha a,b,c
ila umechoka huna mshindi wala htc
ndiyo, mi ni real emcee
lile gari niliazima tu kwa willie hd
huh, tumuombe mungu kwa sana
atupe imani, tuzishinde nguvu za ujana
nasikitika leo hujui cha kufanya
i’m sorry, sitaki tena kukudanganya



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...