elani - hapo zamani lyrics
[verse 1: wambizzy]
rauka jamaa, k-mekucha
miaka k-mi na sita, kidato cha kwanza
pokea salam, siku mpya
insyder za kwanza, zasifiwa boma
kaipokea tetesi, mwaja shule ni wikendi
barua uliyoituma imeshasoma na
sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika
sijaweza kupumua
[hook]
hapo zamani nikajua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa
unapendwa, waamini
ukipendwa, una imani
[verse 2: maureen]
nilikuwaza sana michana kutwa
wewe suk-ma mimi ugali wishwa
na tulipendana kinyama
nikaipokea tetesi, una mwingine
akula mishikaki, aishiye kifahari
mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika
sikuweza kupumua
[hook]
[verse 3: brian chweya]
sikujua, miaka k-mi na sita
siyo miaka, ya kuelewa dunia
sikujua, miaka k-mi na sita
siyo miaka, ya kuelewa mahaba
woyoooo
woyoooo
[hook]
Random Lyrics
- wwo - w.d.c.s.d. kończy lyrics
- erlend øye - lies become part of who you are lyrics
- kialla - kotton kandy lyrics
- fantasia - holy ghost lyrics
- twoclok - sonhos lyrics
- j9 - new wave lyrics
- mabel matiz - dört duvar lyrics
- hyukoh - 지정석 (reserved seat) lyrics
- brenton levy - tng lyrics
- uniikki - naiseni mun lyrics