azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ezzy skillz – b.h.g lyrics

Loading...

[intro: vidah]

hoooh ooooooh
siwezi
tena aaah
hoooh oooooh ouhoooo oouh

[verse 1: ezzy_sk!llz]
nipe nafasi nikuonyeshe…wangu upendo wa kweli
kidonda nikuponeshe…na sitaki fail
kwa mapenzi yangu ya dhati…ninavyopenda kweli
sihitaji niwe na chart…ukaniona tapeli
najua umeshachoka…kuambiwa unapendwa
aah cos nyuma ulipotoka…wengi washakutenda
natena ukajipa moyo…utaishi peke yako
hauhitaji maumivu ya moyo…ndani ya penzi lako
siwezi hata sahau…siku uliposema
“all the boys are the same” na hautopenda tena
hebu fungua moyo wako…kuna utofauti
wa hayo mawazo yako…yaliyojazwa chuki
i said calm down girl…let’s bind the pieces
i can help you don’t say nah…you gotta listern
ninaposema nakupenda…namaanisha its real
hautaki tena kupenda…that’s what they make you feel
beybee

[chorus: vidah]
oooh nooo
siwezi kupenda tena nasema
nimeshaumizwa
walishakuja nawakantema aah
beyb nooo oooh oooh
kurudi nyuma tena mi siwezi
oooh nooo oooh
mi siwezi

[verse 2: ezzy_sk!llz]
utazidi furahi…kwa mapenzi ntayokuonyesha
nakiri walaahi…kidonda siwezi tonesha
pendo lako hai…haters twazidi watesa
aah aah wanawait penzi nikilipoteza
yes! nanukuu true love huwa inakua
sijabisha…nathibitisha nimetambua
beyb! nipeti peti…zaidi ya wale wa zamani
hizo miniskirt…ndiyo zanikosesha amani
tukiwa kwa room…kicheko chako ndiyo kitawale
ushaninywesha sumu…ya pendo lako me nipagawe
question! najiuliza…hivi kwanini walikuumiza?
aah aah hawana jipya…mapenzi bado wanaigiza
hilo tabasam…ndiyo lazidi nipa hamu
i’m thankful beyb umezaliwa na nidham
ndani ya dar_salaam…jiji lenye watoto watam
we ni one in a million…nataka wafaham

[chorus: vidah]
oooh nooo
siwezi kupenda tena nasema
nimeshaumizwa
walishakuja nawakantema aah
beyb nooo oooh oooh
kurudi nyuma tena mi siwezi
oooh nooo oooh
mi siwezi

[verse 3:]
[ezzy_sk!llz]
acha nikupende…hadi ujipende mwenyewe
nipo tayari niitwe chizi hadi milembe inielewe
kuwa nawe maishani…kwangu ni bahati
unaweza hisi ni utani…ulivyoiteka nafsi
i say broken heart garl…we ni kila kitu
wanafki siwasikii i can make it up to …you beybgarl
beyb garl

[vidah]
ntakupa nafasi
nione kama una mapenzi ya kweli…wewe
nione kama una nia ya kweli
ntakupa chance
nione kama una mapenzi ya kweli…wewe
nione kama una nia ya kwee eeli
wee wee eeeh wooou ooouh

[autro: ezzy_sk!llz]
“sometimes love won’t take you in a right way you wanted
“calm down beybgarl ..i can help you let’s bind these pieces

ezzy_sk!llz”