azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

femi one – hepi lyrics

Loading...

[intro]
i like that
i like that
i like that
recipe ya hepi
i like that
i like that
i like that

kaka empire, its a lifestyle
[verse 1: femi one]
ukinibeba ufala nashuka haraka na jam
juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gham’
kama we’ si beshte damu mi siwezi kuita fam
kuna minor kwa sherehe mshow anaitwa na mum
juu masaa ni ya hepi, chunga masaa ni ya dhambi
i’ll see what i can do na wababa wa vitambi
kamkopo kalijipa basi leo si changi changi
juu mixture ni ya remy na pombe za kariobangi
hangover kesho itakuwa kaa ya watu wawili
mara moja itabidi nimemeza mara mbili
lakini haidhuru bora vako tuziseti
picha tunachoma sana tu kwa sababu ya hepi

[chorus]
recipe ya hepi, hepi
recipe ya hepi, hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi
hepi
recipe ya hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi

[verse 2: mbithi]
brown girl amenenga kilamundu
kile anadai ku+buy
ite mike’yo vive ata mayai yaku fry
kaaketa waka chathe kuneya musembu
muya au kunatwili tonight
ni mama brathe mkamba ma pose
circle ili change naveveka na ma boss
nikicome around si unajua how it goes
mi si brag labda unikute meno niki floss, oh
dakika mbili tumebonga one hour
tume make el niño na ma champagne showers
tiba ya kuchapa si ni pesa ndio dawa
siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa, oh
[chorus]
recipe ya hepi, hepi
recipe ya hepi, hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi
hepi
recipe ya hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi

[bridge]
i like that
i like that
i like that
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi

[verse 3: king kaka]
niko na hanjam true story why lie
nairobi mji wa free wifi
mkristo anameza divai
mi ni hepi till i die
tuko na who’s who, yaani nani nani
tuna sele madesign ikiingia magizani
uh, utanipata na boiz w+ngu
unaishi kikuyu, leo unalala roysambu
marashi tulishare ulimi major razor
meza yangu mathree, i say “beba beba”
friday tuko na nameless na non’s
remy, nyake na supu ya bones
[chorus]
recipe ya hepi, hepi
recipe ya hepi, hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi
hepi
recipe ya hepi
maganji, washkaji, vinywaji
ndio recipe ya hepi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...