azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

frenchboy – mteja lyrics

Loading...

oooh lala lala

chorus
leo, leo hatuendi mahali, tumebaki kwa keja baki kwa keja, baki kwa keja baki kwa keja, leo hatujibu masimu, mi niko mteja we uko mteja mi niko mteja we uko mteja

verse 1
mpenzi nakupenda, nakuhitaji mimi, kila usiku na mchana haa baby nakutaka wanipa furaha inaonekana usoni yeah juu wajua kunipa hio mali, ukinipa hutaki nibakishe unataka nirudi pale pale, kwa hivyo

chorus
leo hatuendi mahali, tumebaki kwa keja baki kwa keja, baki kwa keja baki kwa keja baki kwa keja, leo hatujibu masimu, mi niko mteja we uko mteja mi niko mteja we uko mteja. leo hatuendi mahali, tumebaki kwa keja baki kwa keja, baki kwa keja baki kwa keja baki kwa keja, leo hatushiki masimu, mi niko mteja we uko mteja mi niko mteja we uko mteja

basi karibia simu yako weka mbali,nionyeshe jinsi unavyozungusha kiuno,mambo za gizani unataka nikubusu, popote,pole pole hatuna haraka hadi che che nitakutoa jasho hadi che che baby

chorus
leo hatuendi mahali, tumebaki kwa keja baki kwa keja, baki kwa keja baki kwa keja baki kwa keja, leo hatujibu masimu, mi niko mteja we uko mteja mi niko mteja we uko mteja. leo hatuendi mahali, tumebaki kwa keja baki kwa keja, baki kwa keja baki kwa keja baki kwa keja, leo hatushiki masimu,mi niko mteja we uko mteja mi niko mteja we uko mteja (x2)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...