azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

george olongo – nashukuru lyrics

Loading...

nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu

nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu

maisha yangu
umekua mwaminifu
utotoni mw+ngu
umekua mwaminifu
ujana w+ngu
umekua mwaminifu
taifa langu
umekua mwaminifu
yesu w+ngu

oooh, nashukuru!

nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu
jamii yangu
taifa langu
maombi yangu
haja la moyo w+ngu
umekua rafiki wakaribu
umekua jemedali mkuu
nimekuona ukinipigania
nimekuona ukinishindania
yesu w+ngu

hallelujah

nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu

wote wajue , ukuu wako
wote wafahamu, matendo yako
kupitia kw+ngu wajue wewe ni mungu
yesu w+ngu ni mwaminifu
ile umеsema wewe uatеnda
ile umeahidi wewe watimiza
tukikaa kwako, unakaa pamoja nasi
(yesu) yesu w+ngu
nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu

nashukuru yesu w+ngu
nashukuru kwa wema wako
umetenda mambo ya ajabu
yesu w+ngu

yesu w+ngu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...