azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ghafla – vitani lyrics

Loading...

chorus

sitokaa nitasimama ndo nilivyo
jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
uhai wako utishiwe na ulipo
nafasi yako waichukue kwa vitisho
mtaani vitani

verse 1
nishaona mshkaji anauza mshkaji akiwa na mshkaji washkaji
nishaambiwa sikupendi na niliyempenda kisa sikuwa na ganji
sikuwa na demu w+ngu kila demu aliniambia ana mshkaji
salute kwa warembo walionitunuku nilipozidiwa mshkaji
nilishuhudia mama akilia siku tumelala njaa
na ndo maana situlii napigana mtaa
itakuwa sawa usihuzunike mama calm down
bado naamini napambana im gonna make you proud
sihitaji crown wala umaarufu kama havileti
sihitaji ushindani nitabaki mkali kaangalie maandiko
si naifanya kwa ajili ya watu basi haina tatizo
nawapa faraja watu w+ngu mi inanipa mshiko
siku mwingi ilikuwa studio asubuhi sana kona
kwenye usaliti kuna njaa usinihesabie vidonda
mashimo ndani nani ataziba zaidi ya sala unaona
na tulichopata tulishukuru tulizidisha kukomaa
chorus

sitokaa nitasimama ndo nilivyo
jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
uhai wako utishiwe na ulipo
nafasi yako waichukue kwa vitisho
mtaani vitani

verse 2
bado ni ngumu naona njia na share
siishi na chuki nasamehe naishia
upendo utuongoze nilichonacho nawapea
tangu nakua niliambiwa mitaa itaongea
safari ndefu mbele giza
naona nuru wananiziba
wananizuia ninapopita
ni kwa imani tu nitafika
pita mtaani naona vita
nyuka cheni nyuka sneaker
kula chocho tu umekwisha
mwisho wa story
mara zote ninachotoa huwa ni zaidi ya msosi
na wakimjua demu wako nae atageuzwa msosi
sina nao mazoea wan+z+disha mkosi
niko zangu tu mtaa muzik tanzania kikosi
komaa upate umaskini unadhalilisha
tumezika wengi bila mkwanja hupati tiba
nimekosa vingi nikik+mbuka sipati picha
hakuna upendo mpaka upate yeaah pumbavu shida
chorus

sitokaa nitasimama ndo nilivyo
jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
uhai wako utishiwe na ulipo
nafasi yako waichukue kwa vitisho
mtaani vitani



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...