azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

govice - wivu lyrics

Loading...

aliumba dunia
kawaumba binadam
kayaumba na mapenzi

akaumba hisia
kamuumba awa na adam
toka enzi na enzi

vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh

nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh

nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh

na mkipost picha
instagramu status
hasira zanipanda juu

unapendeza sio kwa picha
shepu linajificha
sauti nzuri kama ya zuuh

vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh

vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh

nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...