govice – wivu lyrics
Loading...
aliumba dunia
kawaumba binadam
kayaumba na mapenzi
akaumba hisia
kamuumba awa na adam
toka enzi na enzi
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
na mkipost picha
instagramu status
hasira zanipanda juu
unapendeza sio kwa picha
shepu linajificha
sauti nzuri kama ya zuuh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
Random Lyrics
- alixsep – the statement lyrics
- ezedike – matador lyrics
- hard feelings – love scenes (cosmodelica remix) lyrics
- the motorleague – oh, how the mighty have fallen lyrics
- barney – let it snow, let it snow, let it snow lyrics
- kyle richh – fumble* lyrics
- ryan kyle – cynthia lyrics
- riverson – between the lines lyrics
- marcus belgrave – just one of those things lyrics
- spektral quartet & julia holter – fishmouth lyrics