azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - atarudi lyrics

Loading...

[verse1]
na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita
kama kupata kwa zamu, oooh zamu, yangu itafikaa
siwezi kana damu, kesho wataja nizika
ila ningependa afahamu, haya mateso aloniipa

[bridge]
mmmh.! tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeyee eeeh
kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata icheleweeeeh

[pre-chorus]
oooh oooh ooooh
sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama kaya
cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

[chorus]
atarudii, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudi, eeeeh atarudi mama
atarudi, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudiiiiih

[verse 2]
siwezi sema sijui tatizo, hali yangu duni imefanya ukanikimbia
ni vyema ungefanya maigizo, mara k-mi usingenizalia
mmmh, ingali mapenzi pekee, ningesema ni changamoto nijifunzee
ameniacha mpwekeee, na watoto niwatunze
eeeh,ila siwezi laumu, aaaaaaah,wenda yupo sawa, aaaah
kipato changu kigumu,aaaaah, kutwa bumunda na kahawa, aaaah

[bridge]
eeeh.! ila mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeyee eeh
kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata icheleweeeeh

[pre-chorus]
oooh oooh ooooh
sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameiaga kaya
cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

[chorus]
atarudii, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudi, eeeeh atarudi mama
atarudi, atarudi mama
atarudi, anawapenda sana
atarudi, atawaletea zawadi
atarudiiiiih

ohh my god it’s beta sound



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...