azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize – kushoto kulia lyrics

Loading...

kushoto kulia
kushoto kulia (jeshi)
kushoto kulia
washa tochi ya simu sa tuone mw+nga (konde boy)

kushoto kulia
kushoto kulia
kushoto kulia
kapandisha wazimu +n+licheza vanga

kondeboy for everybody
my music dey shake your body
’cause i do this for my people
i wanna hear you sing, ta la la la

kikando kinanigadi
nafasi naongeza idadi
saluti kwa wanangu wa ghetto
segelea okonga gwala gwala

wasonipenda kazi wanayo
eeeh, kazi wanayo
mie sipigi genga pesa ninayo
eeeh, pesa ninayo

tunatia chenga wanafuata nyayo
eeeh, wanafuata nyayo
tunapiga denda wanapiga miayo
eeeh, wanapiga miayo
we kesha kwa waganganga
mwenzako najichanganganga
n+z+sanya faranganganga
nikipata natumia maduwoteru

ruksa nipanganga
napendaga vicheni vishanganganga
na uturi wa kanganganga
hakikisha unanukia

kushoto kulia
kushoto kulia
kushoto kulia
washa tochi ya simu sa tuone mw+nga

kushoto kulia
kushoto kulia
kushoto kulia
kapandisha wazimu +n+licheza vanga

samina mina, eeh eeh
waka waka, eeh eeh
samina mina, eeh eeh
waka waka, eeh eeh
i say, samina mina, eeh eeh
waka waka, eeh eeh
samina mina, eeh eeh
waka waka, eeh eeh
wanaotaka shindana na mimi
hawapati hata sare
usishangae tattoo na vipini
ni makonde chale
peace kwa walonileta mjini
mondi wa tandale
maneno majungu tupa chini
muziki utawalе

kama nyapara kafunguliwa pingu wee
kutwa tunachana mawingu wee
ameshapanga wewe ni nani upanguе
unajitesa buree (yii aga)

we kesha kwa waganganga
mwenzako najichanganganga
n+z+sanya faranganganga
nikipata natumia

kushoto kulia
kushoto kulia
kushoto kulia
washa tochi ya simu sa tuone mw+nga

kushoto kulia
kushoto kulia
kushoto kulia
kapandisha wazimu +n+licheza vanga
bonga, mwambie cheopa
moto hauzimwi na moto wewe
wakiziba kulia
si tunapita kushoto

je mama jin
usicheze na jembe litakulipa
117
my n+gga jose wa mipango
konde gang is for everybody, everybody (kushoto kulia)
kushoto kulia
kushoto kulia
washa tochi ya simu sa tuone mw+nga



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...