harmonize – mwaka wangu lyrics
[intro]
yaw+yaw
jeshii
la+la+li+la+la, mmh, la+la+la
chiiii
eeh
[verse 1]
ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu
na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu
j+po hata kakibanda nikajenge huko pugu
maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu
eti kwani wao waweze wana nini (mmmh)
na mimi nishindwe nina nini
nishachoka siku zote kuwa wa chini
wengine wanakula kipupwe ma ofisini
[pre+chorus]
mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
[chorus]
mwaka huu ni w+ngu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni w+ngu kwa baraka za mungu w+ngu, dear lord
hakuna mungu kama wewe babaa (eh, hakuna)
kama wewe yawee (eh, hakuna)
hakuna mungu kama wewe babaa (eh, hakuna)
kama wewe yawee (eh, hakuna)
[verse 2]
huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu
huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni
niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza
nami nipande dau niwasalimu kingereza
[bridge]
when god say yes n0body can say no
(when god say yes n0body can say no)
when god say yes n0body can say no
(when god say yes n0body can say no)
[pre+chorus]
mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
[chorus]
mwaka huu ni w+ngu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni w+ngu kwa baraka za mungu w+ngu, dear lord
hakuna mungu kama wewe babaa (eh, hakuna)
kama wewe yawee (eh, hakuna)
hakuna mungu kama wewe babaa (eh, hakuna)
kama wewe yawee (eh, hakuna)
Random Lyrics
- nadirgoldenratio – lay lyrics
- porff – crumble to atoms lyrics
- hirxaki – не моя зая (not my hare) lyrics
- kevin gilbert – big heart lyrics
- wing klan – castello lyrics
- hayley westenra – tsubasa wo kudasai (翼をください) lyrics
- loliwz – научился думать (learned to think) lyrics
- lynxxx – monsta muzik lyrics
- mccafferty – ugly duckling lyrics
- lm9atl – scode lyrics