ibraah – nani lyrics
[paroles de “nani”]
mmmh yeah
mmmh
yeah, (moko)
asubuhi k+mekucha
wingu limetanda
na mvua yata kunyesha
na uko mbali mama
maji takitirika
ooh baridi itanishika
we ndo chanda chema
uhakika unanitatisha tamaa
utaambiwa binadamu
ah kila mmoja ana mapungufu yake
sijui nilipoteleza mama
si ungenambia
nime miss tabasamu
kutwa kucha
picha k+mezea mate
yangu fimbo umeibezea
ah katu hautaki kuitumia
labda hesabu za kutoa
mi niligawanya baby unisamehe
na ile hasi nikaifanya chanya
baby unisamehe
na hata emoji za kulia
nazo kutumia nazo zikome
j+po nipate furaha
ah huruma unionee
maana hii hali, hata haifichiki
kutwa wima kwa mpingo, kisiki
maana hata nikiona michezo ya njiwa
ah hua naitamani
kama si wewe
nitampenda nani?
nitampenda nani?
nitampenda nani
nani nitampenda
nitampenda nani?
nitampenda nani?
nitampenda nani
nani nitampenda, aah
(uuh)
eeh penzi usifanye kwa chombo cha usafiri
ikawa umeshuka ujе utanikatili
nitakuwaga mental, niko dhahari
si unasikia
penzi la dhati daima la wawili
we fanya urudi lisiwе batili
ka wafanya kusudi ni ukatili
mi naumia
we ndo yangu hifadhi
labda nilikosea msimbo
kweli kupenda kazi
w+ngu umegeuka fimbo o
mi ndo lako koroboi
lile lisilozima
aah si ulisemaga hauch0m+i
k+mbe imani unanipima aah
pia ulisema haudonoi
wameiteka mazima
ahaa simun’gunyi, sikohoi
sina vyangu nimechina
maana hii hali hata haifichiki
kutwa wima cha mpingo, kisiki
maana hata nikiona michezo ya njiwa
ah hua naitamani
kama si wewe
nitampenda nani?
nitampenda nani?
nitampenda nani
nani nitampenda
nitampenda nani?
nitampenda nani?
nitampenda nani
nani nitampenda, aah
Random Lyrics
- pedro rivera – entre hierba, polvo y plomo lyrics
- pamungkas – pupus lyrics
- saim x can – zufrieden lyrics
- shaw blades – lucky man lyrics
- krysta joy – raft lyrics
- viktune – loyal hustler lyrics
- phil wickham – where i’m standing now lyrics
- eraste – forbidden love lyrics
- kentlerock – caela lyrics
- cloé mailly – face à toi lyrics