azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ibrah nation - unitoke lyrics

Loading...

k-mbato na busu
ndio vyakunidanganyia
nami niamini napendwa kwenye dunia
je nikigeuza shingo unanifikiriaga?
mbona nikipiga sim hutak kupokeaga!

sina  dhamana
sijakuzaa
unamaamuzi yako
k-mpenda anaekufaa
ningejaliwa mali
ningekupa
usiwaze mwingine tena
unipende tuu mi  dada

umenikoleza na nimekolea
nikajua moyo utatulia
kwenye jamvi yeah
sikuja kwako mi nije kulia
niliona furaha dear
nikaweka kambi yeah

nitafanya ninachoweza
(ili unitoke kwenye akili yangu)
na moyo w-ngu
(unitoke)
kama muda nimeshapoteza
(ili unitoke kwenye akili yangu)
na moyo w-ngu
(unitoke)
unitokeee

siwez kujidanganya
najua wanichanganya
mwenzangu amenizidi utundu
huwa nakuona
mara nyingi ukiongea nae
natamani nianzishe mavurugu

sina dhamana
sijakuzaa
unamaamuzi yako
k-mpenda anaekufaa
ningejaliwa mali
ningekupa
usiwaze mwingine tena
unipende tuu mi dada

umenikoleza na nimekolea
nikajua moyo utatulia
kwenye jamvi yeah
sikuja kwako mi nije kulia
niliona furaha dear
nikaweka kambi yeah

nitafanya ninachoweza
(ili unitoke kwenye akili yangu)
na moyo w-ngu
(unitoke)
kama muda nimeshapoteza
(ili unitoke kwenye akili yangu)
na moyo w-ngu
(unitoke)
unitokeee



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...