azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

iodine kenya – friday lyrics

Loading...

friday × 4

mchizi wa kitaa jina kubwa mie
wamama kwa wababa wanijua mie
wakubwa kwa wadogo
wazee kwa vijana
wajuzi na waleo
wanipenda sana nananah!!

kibaya cha jitembeza kizuri chajiuza
ngoma zangu zawapendeza
kila maali zinavuma
kwenye studio nalala mkesha hii ni bidi sio ndumba
na mabinti walishanicheka nipo nao now
kwenye chumbaa

this time a good time, time
lets have some good time, time
this time a good time
good time good time

its friday, leo tufurahi
friday, hatuishi forever
its friday, gin ongeza makali
friday, piga zote pepewa ×2
mwone hata hana kipaji
walishasemaga maneno
mungu wetu nae mpaji
nikapatana na dranno
mwone hata hana kipaji
walishasemaga semaga
mungu wetu nae mpaji
nikapatana patana
ona sasa tunatesa whole night club
tunakesha
tuna pesa bhakresa lugha upgrade
to kingereza

this time a good time, time
lets have some good time, time
this time a good time
good time good time

its friday, leo tufurahi
friday, hatuishi forever
its friday, gin ongeza makali
friday, piga zote pepewa ×2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...