azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ison mistari – nani nilimkosea lyrics

Loading...

intro:
macho bila ya moyo
hauwezi kuona unacho hisi /

hiyo ni mbaya kwa wenye choyo ambao wametekwa na ibilisi /

vess 1 :

nilitamani kua m binafsi
nikatekwa na ujamaa /
siku smile
hata nikiwa happy
ili w-ngapi wasijue nnafrah /

wanasafisha chozi kwa
maji /
hawa wazugaji /
watakupa usichotaka
zaidi ya unacho kihitaji /

wanacho amini hakipo sawa
kilicho sawa hakiaminiki /
unaeza kua na mbawa na
ukabebwa kama self stick /

skutamani ustar
nilijikuta nisha kua maarufu /
sk-muhitaji lufufu
wengi walitamani huu utukufu /
sasa nani anivike taji
upinzani upoteze nguvu /
kwa changamoto za hii sanaa ndio niache kama mzee yussufu /

eti atakae nitoa nimngoje
hadi atoke /
nae nisawa na kizibo cha soda tu
hadi kwa k-mzibua ndio
afoke /

alie tamani uwepo w-ngu
anafrahia kunipoteza /
adui anagwaya
anahisi noma kuni pongeza /
anaujutia wakati
wana alie shindwa
kujiongeza /
je huyu kinda ” mama yukowapi ??”
mwewe ata m beba ku mtembeza /

ninapo itema hii baridi
wanajikunja kama korosho /
walisha mponda
hata fareed (fid q)
eti ni mc gani michosho /
sishangai kwa hizi chuki
wanazoleta kama mkopo /
zita waacha wabaki juu
wakiwa vichwa chini tu
kama popo /

ningezaliwa juu ya barafu
mngeniweka kwenye freezer /
ili niendelee kua mgumu
hata nikija kama squizer /
misjaishi kwenye povarty
kiasi cha kupitiliza /
au kujisifia kasi
nikamsahau anae nikimbiza /

nina history ndefu kama
misry /
ajabu maneno yangu
karanga mc s yata wakohoza kama dhikri /

muogope huyu farasi
ambae anapitwa hadi na mjusi /
au jifunike gubi gubi
kama mwana alie chokoza
nyuki /
hakika povu haliwezi
safisha chuki /
dunia imejaa makovu
na watu ndio kaumu luti /

nisinge pewa upendo
ningenyimwa hata na imani /
siwezi kua yesu
hata nikimtukana shetani /

kibwagizo :

tunajifuza hisia
baada ya kuanza kutamani /
leo kila mpenzi
-n-lia wanauliza m baya ni nani / x2

___________________________
chor-ss
___________________________

vess 2 :

wamepandikiza ubinafsi
na gere ndani ya wabongo /
ili tusiwe na ushemeji
wakweli kama mani fongo / (zam ya nani leo )
na bado wakanibania mchongo /
eti wanigeuze goma
kama lile jimbo la kongo /

nikifa stoacha biff
nita waacha wenye biff zao /
nita waachia safina ya ujumbe mgawane mbao /
kile mlicho k-mbuka nyinyi
sicho nilicho kisahau /
na msihofie kushuka
mkiungama kwa madhabahu /

maisha ni ukuta
hutovushwa na washika daw /
wakikuchoka watakutupa
kisha wataendazao /

kwaio noma kuish redioni tu kama tangazo la kifo /
halafu niitwe chipukizi
wakati tangu zamani nipo /
ninapo amka hakika
nilitoka katika kifo /
mbona nalala na furah
nahakuna masikitiko ? /

nyi mlifaa mnipe sapot
zaidi ya chidi benz chuma /
niwe na speed zaidi ya bolt kias cha k-mkimbiza duma /

wadau wametugeuza mtaji
kama bar mad na glas ya bear /
wanasiasa hawa tuhitaji
zaidi ya wanapo hutubia /
ndani ya joho la alhaji
kuna mengi uliyo sikia /
yupowapi incharge
au yule anaechuna ukimsalimia ?

wananiua kama goriati
na daudi hatupwi jela /
kisa nna ugojwa wa mtaji
ambao hautibiki mwaisela /
maana siishi kwa collabo tu
kama cristian bella /
wanashauri eti nikapange foleni kwa said fella ! /

kisha wanifute kama
omiseta ili “thabit” asizaliwe /
mi huaga napiga hata asiehusika
gizani nikitupa jiwe /

sikuzaliwa mweusi
ilinije nilete gere /
ni uawe kama mw-ngosi
au wafuasi wa kibwetere /

hai make senc
inauma hadi inaboa /
kile wanacho hitaji wao
ni zaidi ya wanacho toa /
mengi watakosoa
wata kugeuza kaka poa /
kisha wata kuahidi talaka
na haupo katika ndoa /

kibwagizo :

tunapotea baada ya kupoteza imani /
leo bubu anataka kuongea na huyu alie mtusi zamani / x2

___________________________
chor-ss
___________________________

outro :

tunaish kwa itikadi
na ndio maana hatubadiliki /
hatutafuti pesa
tunakesha kutafuta kiki /

nani nilimkosea ??
nikiuliza wanakaa kimya /
kinafiki wananichekea
wakiwa meno nnje tu
kama kima /

wananiingelea mengi
kiundani hawanijui /
kwa mbele kama kondoo
nyuma wana makucha
kama chui /

hao ndio marafiki wa leo
nani nili mkosea ???

dah !

mtanik-mbuka sana
siku nikiondoka
kwenye mgongo wa dunia
nahata nikifaleo
hakuna hata mmoja atakae bakia

yah

haya ni maishatu
naitwa ison
dj walid

cheusidawa

the end



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...