azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jabali afrika, justo asikoye – malaika wangu lyrics

Loading...

nakupenda
nilipokuona mara ya kwanza
nilikupenda
urembo wako tabia
huku kote wasifika
tabasamu sura nzuri
umbo wa kupendeza
bidii zako heshima
zaenda sambamba

malaika w+ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
malaika w+ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza

malaika
nakupenda, ehh

naomba unipe fursa
nikujue vizuri mpenzi
niwajue wazazi
familia yako yote
unipe fursa ni kutunze
najua siko kamili
nitajaribu mpenzi
utabasamu maishani mwako eeh

malaika w+ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza
malaika w+ngu
nakupenda
sura yako nzuri
ni maua ya kupendeza

ooh, hey, ooh, malaika
ooh, nakupenda, ooh, ehh
sura yako nzuri (ehh)
ni maua ya kupendeza (ehh)
malaika w+ngu (w+ngu)
nakupenda (nakupenda)
sura yako nzuri (hehh)
ni maua ya kupendeza



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...