jane odul – u mwaminifu lyrics
Loading...
u mwaminifu
sikujua ya kwamba, nitafika hapa mimi
lakini ewe baba, u mwaminifu
ni mbali nimetoka, mapito nayo mengi
lakini ewe baba, u mwaminifu
chorus
sina lingine la kusema
ila shukrani kwako ewe baba
maisha yangu yote, nayatoa kwako
uniongoze, u mwaminifu-2
umekua mw-ngaza, wakati wa giza
umeniongoza, umwaminifu
nilipokua mnyonge, umekua nguvu yangu
kanisimamisha imara
u mwaminifu
chorus
sina lingine la kusema
ila shukrani kwako ewe baba
maisha yangu yote, nayatoa kwako
uniongoze, u mwaminifu-2
u mwaminifu…
u mwaminifu…
u mwaminifu…
u mwaminifu…
chorus
sina lingine la kusema
ila shukrani kwako ewe baba
maisha yangu yote, nayatoa kwako
uniongoze, u mwaminifu-2
Random Lyrics
- mr. easy – gone a lead lyrics
- amias – still care lyrics
- trang fødsel – inni her lyrics
- recycled j – baby lucifer lyrics
- prkr – block (ft. amp da truth) lyrics
- yogurt with sprinkles – hey mr. wilson (original mix) lyrics
- tech n9ne – red byers (say som’n do som’n) lyrics
- young gho$t, chronic shnxman – quality lyrics
- jay2 – liu kang (major payne) lyrics
- abraham mateo – who i am lyrics