azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jesse jeezus – karibu tena interlude lyrics

Loading...

intro:
i been listen to your rappers,sifeel bars

ipamba tosa is here

verse:
karibu tena kwenye show za jeezus
muendelezo mwingine wa mapinduzi
i been listen to your rappers , sifeel bars
my single line page kwao na niko na many syllabus

cheki my store unyama basi
nishascore many goals na hawajaweka mpira kati
ila basi ni hila basi…..
roho zao bado wamekunja na tumewapa sana pasi

cheki tu soli usiulize kiatu kinatema
nimetoka pabaya, we ungekuwa ushaacha kuhema
mitihani kibao navuka nascore maksi vyema
kwenye show za jeezus, karibu tena

mnyama kabisa mnyama zaidi ya nilivyokua
kati wanaupiga mwingi afu golini wanabutua
waliziba masikio wakaweka mdomo mbele
wakavimba kichwa, wamedondokea pua

nabora nibaki poor kuliko kutoa jicho
vatu vyangu haviwatoshi nawachukulia simple
mbaya hakuna wa kuniondoa labda kifo
kwenye show za jeezus, karibuni my people

nainjoy kuwepo kwa wakali sina haja ya kwenda viral
nitazame uyape fahari macho mi mi ni cairo
can’t be workshop ya devil sikai idle
ukiwa man+gga ongeza focus usiiabishe hii circle

tushafika mahardcore oya bishoo chimba
mpaka korogwe mi finest niite boshoo ninja
hauna bro kimya, ka unadow vimba
dada njoo timba ila baada ya show mimba

na nilijiona nimekua nilivyojitenga na ma yo yo
mi ni more zaidi ya kufanya tu izo yo yo
necta nilikula four na kila mwezi na withdraw
so hamtaniona amateur level mtashangaa sha+go pro

sipo mainstream ila haijawai nitesa
jina langu kila mtaa ka wauza ice cream wa bakhresa
hii ni sheria sheria imepitishwa haipingwi
ata nisiposhinda nitazungumzwa na washindi
mabishoo wanaumia ila pamba ndo n+z+nyuka
furaha dirty south ka mabovu kafuf+ka
walisema hatutafika na sapoti hawakutupa
leo wanashangaa wale twaruka

kwetu haimake sense kama haingizi kipato
tushajua kutofautisha kuteseka na kuhustle
mjanja silali njaa wakati maboya wapo
hakuna ka mimi mungu hakubakisha hii sample



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...