azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jessica honore - ni yesu lyrics

Loading...

alie ianzisha kazi ndani yangu, ndie atakae timiliza aaa!
hatoacha hata mguu w-ngu usogezwee!,
maana -n-lilinda kusudi lake

hata ndugu wakiniacha yeye yupo nami
marafiki wakinitenga yesu yupo nami (×2)

kama uko kinyume nami
jua uko kinyume naye,
maana sikujiita mi,
alie jiita ni yeye

tumaini langu, yesu
uzima w-ngu, yesu
ushindi w-ngu, yesu, yesu, yesu

haijalishi ni mda gani umezunguka
jangwani ni pakavu, pana ukame
ahadi ya mungu kwako itatimia
usipokata tamaa, moyo kuzimia

wanasimba hutundikiwa wakuona njaa, bali watoto wa mungu hawatundikwi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...