josco boy – napendwa lyrics
Loading...
ukini chukia waji chukia mwenyewe
sinaga shida na mtu yoyote
upendo na watu wote
sina tatizo na mtu yo yo! x2
ata unitukane
lakini najiami wenyewe
sina mawazo mengi
sababu na juwa
mi napendwa x3
napedwa
mi napendwa x3
sijali kama unanichukia
maana na zadi kupendwa
wanakesha kupiga punyeto
kujifanya ma star kipindi wana lala kwenye nyumba
za matope!
nikipita mtaani wengi
wananicheka
achani wivu ila ujuwe ukini chukia waji chukia
mwenyewe
imwana wabashi mmuma ebokoma
ex anajuta kunichanganya
nimebahatika kupendwa
kuwa hapa ni sababu napendwa
na skia mtandaoni eti follow ashindane na nyago
mimi siendekezi ujinga
ziwezi kushinda nishwa sababu popote niendapo!
napendwa!
mi napendwa x3
napedwa
Random Lyrics
- sogdee – да, любовь зла (yeah, love is bad) lyrics
- vlone – alienz ft. aye nate lyrics
- heist187 – 187rot lyrics
- midwxst – booted up freestyle lyrics
- peter broggs – jah is the ruler lyrics
- jdot breezy – so brooklyn lyrics
- băng tâm – thương hoài ngàn năm lyrics
- ninety one – bópe lyrics
- low.sleep – инстинкт (instinct) lyrics
- lmx (meshwork music) – bleak lyrics