josco boy - sijapenda lyrics
oooooh aaaeee joso boy aaah yeye
usijekuniona mjinga bure wakati
kosa sio langu me
usijekuniona mjinga bure wakati
kosa sio langu mimi
sijfanya chochote eeh
na wala sijfanya chochote mii..
nilipambana kutafuta aah
nilipambana kutafuta aah
ila mungu ila atupenda yoo
ila mungu ila atupenda yoo
leo haikuwa riziki yangu
kesho inakuwa riziki ya wengine eeh
ooh basi ungenivumiliaaah yoo
ule sio mimi ndio nilipenda aah
sio mimi , mimi ndio nilipenda
sio mim, sio mimi , sio mimi
ndio nilipenda yote haya yakoteeeh
husije kunilaumu bure!! eeeeh
wala sio mimi ndio nilipenda
haya yote yatokeeh aaah oooh
hungekuwa mvumilivu uuuh
mvumilivu , ningekupeda mpaka mileleeeh
oooh mpaka milele < nasha , nashangaa
ile hahadi iliyo hadi nami
leo umeivunja aaaaah
wala mimi sikupenda mimi oooh
wala mimi sikupenda ivyo oooh
ungenivumilia tuuu ooooh
mimi sikupenda aaah
mimi sikupenda aaah haya
yote yatokeheeeh < usinilaumi
sio kosa langu mimi , wala mimi
sikupenda yote yakotokeeeh
wala sio mimi , sikupenda yote yatokeheee
nilipambana kutafuta ila
haiikuwa riziki yangu miiiiih oooh
uuuuuh nilipambana kutafuta
ila haikuwa riziki yangu miii
Random Lyrics
- klimer & fort21 - дисс на кашу 2 (kussia diss 2) lyrics
- the other half - my animal crakkers lyrics
- noisy - afraid lyrics
- famous webz - 2 guns up lyrics
- criminal mafia cult (artist) - haunted house lyrics
- yung tommy - the one lyrics
- rogue valley - comfortable lyrics
- 30key! - alvida lyrics
- brian mantra - smoke!!! lyrics
- moleca 100 vergonha - difícil lyrics